Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, May 12, 2012

MUDA MFUPI ULIO PITA: MKE WA MUHESHIMIWA RAIS MAMA SALMA KIKWETE ATUA JIJINI MBEYA KWENYE SHEREHE ZA UZINDUZI WA MFUKO WA ELIMU KWA KINA MAMA CHUO KIKUU CHA TEKU JIJINI MBEYA

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIWA ANAWASILI KATIKA CHUO KIKUU CHA TEKU KATIKA SHUGHURI HIZO 
HOLI LA CHUO KIKUU CHA TEKUMKUU WA MKOA WA MBEYA MH. ABAS KANDORO AKIMKARIBISHA MAMA SALMA KIKWETE KUHUTUBIA 
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIWA ANAWASALIMU WAGENI WAALIKWA NA WATU MBALI MBALI WALIO FIKA KATIKA SHEREHE HIZO

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIWAHUTUBIA AKINA MAMA PAMOJA NA AKINA BABA WA TEKU KATIKA SHEREHE HIZO ZA UZINDUZI WA MFUKO WA WA 
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIZINDUA RASMI MFUKO WA ELIMU WA KINA MAMA TEKU MUDA MCHACHE ULIO PITA 
 MAMA SALMA KIKWETE AKIWA ANESHA ZINDUA MFUKO WA WANAWAKE KUCHANGIA KATIKA ELIMU AMBAPO YEYE AMECHANGIA KIASI CHA SHIRINGI MILIONI TANO
WAKIKABIDHIANA MFUKO HUOUMATI WA MAMIA WA WANANCHI WALIO FIKA KUSHUHUDIA UFUNGUZI WA MFUKO HUO WA ELIMU KWA WANAWAKE TEKU

BAADHI YA KINA MAMA WAKIFANYA MAONESHO MBALI MBALI 


 MAMA NDOMBA AKIFANYA MAMBO YAKE UKUMBINI WAKATI WA SHEREHE HIZO 

 MAONESHO YA MAVAZI MBALI MBALI PIA YALIKUWEPO

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKITAZAMA BIDHAA MBALI MBALI ZA WANAWAKE CHUONI HAPO

ASKOFU CHEYO WA KANISA LA MORAVIANI WA PILI KUTOKA KULIA AKIWA NA MAONGEZI NA MEYA WA JIJI 
WAANDISHI WA HABARI WAKICHUKUA TUKIO KWA UMAKINI
************
KUTOKA VIUNGA NA UKUMBI WA TEKU TULIKUWA MOJA KWA MOJA TONE MEDIA LIVE GROUP .. MPIGA PICHA MKUU NDUGU JOSEPH MWAISANGO NA MRUSHA MATUKIO YA MOJA KWA MOJA FREDY TONY NJEJE WOTE WA TONE MULTIMEDIA COMPANY LIMITED AMBAO NI WAMILIKI WA BLOG HII YA MBEYA YETU 

No comments: