Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, May 24, 2012

PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA

SHIRIKA lisilo la kiserikali linalotoa huduma na Elimu ya Afya nchini(PSI) limeendelea kutoa huduma katika mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji mmoja wa  waendesha semina Bi Anisa. akitoa maelekezo ya uvaaji wa kondom katika baa ya Blue house jijini Mbeya

Mmoja wa waliyopata semina hiyo ya maambukizi ya ukimwi Bwana Frumency  John kushoto  akijaribu kujibu swali aliloulizwa  na mtoa semina

No comments: