Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, May 12, 2012

LIVE !!! MASHINDANO YA DARTS YANAENDELEA SASA KATIKA UKUMBI WA BLUE HOUSE JIJINI MBEYA MECHI NI KATI YA TIMU YA APPLE LINE NA BLUE HOUSE

 WADAU WAKIFUATILIA KWA UMAKINI MASHINDANO HAYO MUDA HUU
 MMOJA WA WASHIRIKI KATIKA SHINDANO HILI AKIRUSHA KISHALE MUDA MCHACHE ULIO PITA
 WAKIENDELEA NA SHINDANO
 MCHEZAJI BWANA JULIUS MUNISI AKIRUSHA KISHALE MUDA MCHACHE ULIO PITA
WADAU WAKIENDELEA KUFUATILIA TUKIO 

ENDELEA KUFUATILIA TONE MEDIA LIVE GROUP TUPO ENEO LA TUKIO MOJA KWA MOJA

No comments: