Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, May 10, 2012

Liveee!! Waziri Mkuu Mheshimiwa Pinda Awasili Jijini Mbeya kikazi

Ndege ya Waziri mkuu ikiwa inatua Jijini Mbeya muda huu 
 Ndege ya waziri Mkuu ikiwa imesimama muda si mrefu 
 Viongozi mbali mbali wakiwa wamejiandaa vema kumpokea Waziri Mkuu Muda huu
 Muheshimiwa Mbunge wa viti maalum CCM akiwa na Mheshimiwa Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi muda huu
Waziri mkuu Muheshimiwa Pinda akisalimia na viongozi mbali mbali muda huu 

Akiendelea kusalimiana na Viongozi Mbali mbali 
Muheshimiwa Pinda akivalishwa Skafu na moja ya skauti Mara baada ya kuwasili jijini Mbeya muda huu


 Wakuu wa Idara Mbali mbali wakiwa wanangoja kumsalimia Waziri Mkuu 


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akiwa na Meya wa Jiji  muda huu 
Endela kufuatilia 

No comments: