Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, May 10, 2012

LIVEEE! WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA JIJINI MBEYA MUDA HUU

 WAZIRI MKUU AKIWA AMEWASILI  KATIKA KIWANDA CHA NYAMA JIJINI MBEYA 
 WAZIRI MKUU AKIWA ANAONESHWA BAADHI YA MAENEO  MARA ALIPO WASILI ENEO HILO MUDA HUU
 WAZIRI MKUU AKIWA AMEONGOZANA NA VIONGOZI WENGINI JIJINI MBEYA 
 WAZIRI MKUU AKIWA ANAPEWA MAELEZO NDANI YA KIWANDA HICHO MUDA SI MREFU 
 KIWANDA CHA NYAMA JIJINI MBEYA 


 WAZIRI MKUU AKIENDELEA KUPATA UFAFANUZI JUU YA KIWANDA HICHO 
TONE MEDIA LIVE GROUP BADO TUNAWALETEA TUKIO LIVE NA SASA WAZIRI MKUU ANAELEKEA KIWANDA CHA MALU MALU ENDELEA KUFUATILIA 

No comments: