Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, May 8, 2012

EXCLUSIVE ONE: MAANDALIZI YA KUUPOKEA MWENGE JIJINI MBEYA YAPAMBA MOTO WAFANYA MAZOEZI MAKALI LEO UWANJA WA SOKOINE

 VIJANA WAKIFANYA MAZOEZI YA NGUVU SANA KWA MAANDALIZI YA KUPOKEA MWENGE LEO UWANJA WA SOKOINE LEO 
 ASKARI MAGEREZA NAO HAWAKUA NYUMA WAMEJIFUA VEMA KUPOKEA MWENGE HAPA WANAFANYA MAZOEZI YA BENDI YAO 
 VIJANA WADOGO NAO WAKIWA WANAPATA MAFUNZO MAKALI KWA AJILI YA KUPOKEA MWENGE LEO 
 MAZOEZI YAMENOGA HAPA 
 HAPA VIJANA WAMEPANGWA KUTENGENEZA MANENO AMBAYO YATAKUWA YANAONEKANA SIKU YA TUKIO 
 MAFUNDI WAKIWA BIZE KABISA KUANDAA BAADHI YA MAJUKWAA NA ENEO AMBAPO MWENGE UTATUA 
 BAADHI YA WAKUU WAKICHUKUA BAADHI YA DATA WAKATI WA MAZOEZI HAYO 
 WATOTO WANAENDELEA KUPANGWA KUTENGENEZA MANENO HAYO 
 USAFI UNAENDELEA ENEO HILO 

WAKIENDELEA KUTENGENEZA MANENO 
 HILI NDILO NENO WATOTO WALIKUWA WANAFANYISHWA ZOEZI LA KULITENGENEZA HAWA WATOTO WA SKAUTI WAKIFANYA MAZOEZI MAKALI WAKATI WA MAANDALIZI YA KUUPOKEA MWENGE 
***
LEO KATIKA UWANJA WA SOKOINE MTANDAO HUU ULIKUWA LIVE KUSHUHUDIA JINSI MAZOEZI YA KUJIFUA KUJIANDAA KUPOKEA MWENGE WA UHUURU AMBAPO VIKUNDI MBALI MBALI VILIFIKA HAPO KUFANYA MAZOEZI. 
MAZOEZI HAYO AMBAYO YALIKUWA YA AINA YAKE NA KIVUTIO KIKUBWA KWA WALIO TAZAMA LIVE PIA YALIHUSISHA VIJANA AMBAO WALIONESHA KIPAJI KIKUBWA PALE WALIPO WEZA KUTENGENEZA MANENO YA UJUMBE WA MWENGE WA UHURU 
MPAKA TONE MEDIA LIVE GROUP AMBAO PIA NI WAMIRIKI WA MTANDAO HUU MAMBO YALIKUWA MAZURI KABISA NA TUTAWALETEA LIVE KABISA TUKIO HILI SIKU MWENGE UTAKAPO WASILI 
PICHA ZOTE NA TONE MEDIA LIVE GROUP NA MPIGA PICHA MAALUM WA MBEYA YETU BLOG

1 comment:

Mwangwitwa Chris said...

Jamani huu ndio uwanja wa Sokoine ninaoufaham?jamani mbona unatia aibu sana C C M si ndio wamiliki wake,nilikuwa mwanafunzi A level 1992 uwanja ulikuwa ni kijani kibichi kila kona,ninanvyoona sasa hivi jamani kiukweli unatia aibu,viongozi ukumbukeni uwanja kama kumkumbuka hayati EDWARD MORINGE SOKOINE.