Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, May 10, 2012

LIVE WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWASILI KIWANDA CHA MARUMARU MUDA HUU ATEMBELEA BAADHI YA MAENEO

 WAZIRI MKUU AKIPATA MAELEZO MBALI MBALI MUDA HUU  KIWANDA CHA MARUMARU MBEYA 
 BAADHI YA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA  MARUMARU  MBEYA 
 WAZIRI MKUU AKIPATA MAELEZO YA KINA JUU YA KIWANDA CHA  MARUMARU  MBEYA MUDA HUU 
 HIVI NDIVYO KIWANDA CHA  MARUMARU  KINAVYO ONEKANA MUDA HUU
 WAZIRI MKUU AKIPATA MAELEKEZO  YA KINA JUU YA JIWE LA  MARUMARU  MUDA HUU 


 WAZIRI MKUU MUHESHIMIWA PINDA AKIONESHWA  MARUMARU  AMBAZO ZIMEKWIYA KWA AJILI YA MAUZO

MUHESHIMIWA WAZIRI MKUU SASA ANAELEKEA UKUMBINI KUONGEA NA WAFANYA KAZI 

ENDELEA KUFUATILIA LIVE 

No comments: