Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, May 10, 2012

Livee!! WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AKIWA UKUMBI WA KIWANDA CHA MARUMARU JIJINI MBEYA KUONGEA NA WAFANYAKAZI PAMOJA NA WAGENI WAALIKWA MUDA HUU

MUHESHIMIWA WAZIRI MKUU AKIWA PAMOJA NA VIONGOZI MBALI MBALI WA SERIKALI KATIKA MEZA KUU MUDA MFUPI KABLA YA KUONGEA NA WAFANYAKAZI PAMOJA NA WADAU
BAADHI YA WAGENI WAALIKWA WALIOFIKA KATIKA UKUMBINI HAPO KUMSIKILIZA WAZIRI MKUU 

MUHESHIMIWA MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA WA KWANZA KULIA MBELE AKIWA KATIKA ZIARA YA WAZIRI MKUU 
 BAADHI YA WAFANYA KAZI WALIOFIKA HAPO UKUMBINI KUMSIKILIZA WAZIRI MKUU 

 MUHESHIMIWA WAZIRI MKUU AKIPATA ZAWADI YA KITI KILICHO TENGENEZWA NA MARUMARU YA MAWE 
 MKUU WA MKOA MUHESHIMIWA ABAS KANDORO AKIMKARIBISHA MUHESHIMIWA WAZIRI MKUU KUONGEA NA WAFANYAKAZI KIWANDANI HAPO 
 WAZIRI MKUU MHESHIMIWA PINDA AKIONGEA NA WANANCHI PAMOJA NA WAFANYAKAZI KIWANDANI HAPO 
TONE MEDIA LIVE GROUP BADO  TUPO ENEO LA TUKIO NA SASA TUNAELEKEA UYOLE AMBAPO MUHESHIMIWA WAZIRI MKUU ANAENDELEA NA ZIARA 


No comments: