Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, May 10, 2012

LIVE ! WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AKITEMBELEA MASHAMBA YA KILIMO UYOLE MKOANI MBEYA MUDA HUU

 WAZIRI MKUU AKIWA ANAWASILI KATIKA MASHAMBA YA KILIMO UYOLE MBEYA MUDA HUU
 WAZIRI MKUU PAMOJA NA VIONGOZI MBALI MBALI WAKIELEKEA KUTAZAMA MASHAMBA YA KILIMO MUDA HUU 
 BIBI SHAMBA AKIMPA MAELEZO YA KINA MUHESHIMIWA WAZIRI KUHUSU SHAMBA HILO KUBWA 
 HILI NDILO SHAMBA LA KILIMO UYOLE 

 WAZIRI MKUU AKIENDELEA KUPATA MAELEZO YA KINA YA JUU YA SHAMBA HILO KUBWA LA KILIMO UYOLE MBEYA 

WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AKIWA ANAMALIZIA MALIZIA KUTEMBELEA SHAMBA HILO LA KILIMO UYOLE.

*******
KUTOKA KATIKA ENEO LA TUKIO KUANZIA MWANZO WA TUKIO MPAKA SASA AMBAPO WAZIRI MKUU ANAMALIZIA ZIARA YAKE KWA LEO NA KWENDA KUJIANDAA KWA AJILI  YA KUWASHA MWENGE UWANJA WA SOKOINE MBEYA MSIKOSE TUKIO LIVE.

MPIGA PICHA WETU ALIKUWA NDUGU JOSEPH MWAISANGO NA FUNDI MITAMBO AMBAE NDIYE AMELETA TUKIO LIVE NI FREDY TONY NJEJE WOTE WA TONE MEDIA LIVE GROUP CHINI YA TONE MULTIMEDIA COMPANY LIMITED. 

No comments: