Madereva wakiwa wanamzuia mwenzao asiendelee na safari katika sakata la mgomo muda huu
Baadhi ya Dala dala zikiwa zimeziba bara bara mapema muda huu
Hapa ni maeneo ya Sangu shule ya Sekondari ambapo dala dala zimeziba njia
Kutokana na Mgomo huu umesababisha safari za kutoka Soko Matola kuelekea Uyole kuwa za shida. tutaendelea kuwajulisha endelea kufuatilia
1 comment:
Wazo la kugoma sio baya hasa pale unapofikiria kwamba haki zako zimekiukwa lakini ni haki kuzuia barabara? huku ni kutotambua mamlaka binafsi katika kufanikisha.
Post a Comment