WANANCHI WAJITOLEA KUKARABATI BARABARA YA ISONGOLE KWENDA MWAKALEI
Baadhi ya wananchi na wadau mbalimbali wakishirikiana kukarabati barabara ya isongole mwakaleli
Wadau na wananchi wa kata ya isongole wilayani rungwe wajitolea kukarabati barabara ya Isongole kupitia ngumbulu hadi mwakaleli kwa kuwa imesahaurika japo ni muhimu kwa ustawi wa uchumi wa mazao ya mbao, viazi, pareto,na mifugo, vivyo kusababisha mzao hayo kutopitia njia hii na kufanya mbeya vijijini kunufaika na ushuru wa mazao hayo na wilaya ya Rungwe kukosa mapato kwa kuto ijali barabara hii ya Ngumbulu.
No comments:
Post a Comment