Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, March 18, 2012

Breaking Nuuuz: Live ! Madereva wa Dala dala wagoma kwa muda wa dakika 30 kutoa huduma hiyo ya kusafirisha abiria kwa kile kinacho daiwa kuwa Askari wa usalama wa Bara barani wanawanyanyasa kupita kiasi.

Baadhi ya wasafiri wakiwa wameduwaa wakati huduma hiyo imesitishwa kwa muda

Madereva wa Dala dala wakiwa wanateta mambo baadhi juu ya manyanyaso wanayo yapata kutoka kwa Askari hao wa usalama wa bara barani muda mchache ulio pita


Hapa Baadhi ya madereva wakiwa wanaendelea na Kikao chao cha muda maeneo ya Mama John karibia na Kiwila Motel

Baadhi ya wanachi wakiwa wanangojea kuona nini hatima ya Mgomo huo wa madereva muda mchache uliopita 


Mgomo ukiwa unaendelea muda mchache ulio pita 

No comments: