Huku ni kata ya sinde jirani na shule ya msingi sinde eneo lote limezungukwa na takataka na kutoa harufu kali kwa wapitanjia na watoto wanaosoma shule ya msingi sinde |
Hili ni eneo la kata ya manga jijini mbeya takazikiwa zimezagaa kila mahali |
Eneo la sae |
Njia panda ilomba |
2 comments:
Jiji la mbeya linazidi kukua kwa maana hasa ya idadi ya watu, shughuli za kimaendeleo na kijamii, lakini kwa upande mwingine uzalishwaji taka nao unaongezeka maradufu sasa ni vizuri pakiwepo na mikakati madhubuti kukabiliana na hali hii haiwezekani mambo yakaachwa kujiendea kienyeji enyeji tu...lakini kwani ushuru unaenda wapi kwasaabu kazi moja ya ushuru ni kuweka mazingira safi....la sivyo ushuru ufutwe au upunguzwe na watu wasimamiwe na mgambo wa jiji kuweka mazingira yao ya kazi katika hali ya usafi.
Ukisikia jijilambeya utafikiria jiji kweli kumbe ni upuuzi tu jiji gani nyumba za tope au walimnukuu vibaya aliyekuwa anazindua. Yawezekana alikuwa anazindua kijiji cha mbeya wao wakasikia jiji
Post a Comment