| Waheshimiwa majaji wanasheria na watumishi wa mahakama wakiangalia gwalide lililoandaliwa na jeshi la polisi mkoani mbeya |
| Jaji mfawidhi kanda ya mbeya jaji Mmila akiwahutubia wageni waliohudhuria siku hiyo ya sheria |
| Wanasheria watumishi wa mahakama na wananchi mbalimbali wakimsikiliza jaji mfawidhi kanda ya mbeya |
| Kwaya ya mahakama kanda ya mbeya ikitumbuiza wageni waalikwa siku ya sheria nchini |
| Madhehebu mbali mbali ya dini yalitoa sara zao siku hiyo ya sheria nchini |
No comments:
Post a Comment