Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, January 31, 2012

WAOSHA MAGARI KATIKATI YA JIJI LA MBEYA WATIMULIWA MCHANA HUU

Moja ya vijana waosha magari katikati ya jiji la mbeya akibebwa juu kwa juu mara baada ya kukamatwa na mgambo, halmashauri ya jiji imewapiga marufuku vijana hao kuosha magari katikati ya jiji kwani wanachafua barabara na kuwasumbua wenye magari kuwalazimisha kuwapa hela
Mgambo wa jiji la mbeya wakiwakamata vijana waosha magari

1 comment:

Kelkaf said...

Hawa vijana manispaa ya Mbeya inataka wakaibe au waanze kupiga watu nondo?Anha naona mnataka wote wawe askari wa manispaa siyo?Ona migari ya watu kwanza ilivyomichafu..........mnaoshewa mnalalamika hivi wa2 wakoje?Na kama mnawafukuza basi watafutieni ajira mbadala.