Huu ni mti ambao umesha Katika na shina chini kuachia, Umebakia kudondoka tuu Lakini Tanesco wamesha Kula pesa na Hawaangaiki nao Kuukata wakati pesa wamesha jula za zoezi hilo
Hivi ni Baadhi ya vichaka ambavyo vinahatarisha nyaya hizo kuleta matatizo
Hivi ndivyo mti huu ambao umeoigiwa kelele na wananchi wa eneo hili na Wenye viwanda Iyunga Mbeya, Ambapo wananchi wamesema kwamba ukionguka utasababisha ukosefu wa umeme katika viwanda vyote kwa sababu wanategemea umeme huo.
Hii ni Bara bara ambayo inaelekea viwandani na Juu yale kuna nyaya hizo za umeme napembeni Kuna mti Mkubwa ambao unakaribia kuanguka endapo Mvua kali zikianza itahatarisha maisha ya watu wengi eneo hilo.
Hii ni Bara bara eneo la Ituta Iyunga Mbeya eneo la kuingilia Viwandani kwenye matatizo hayo yanayo sababishwa na Shirika la Umeme Tanesco
Hiki ni kisiki ambacho kipo kando ya bara bara, mti huo ulisababisha matatizo makubwa na kukata nyaya hizo
Haya ni Baadhi ya maeneo ya viwanda, wanao tegemea Umeme huo
No comments:
Post a Comment