Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, January 2, 2012

Ibada ya Sherehe za Mwaka Mpya Jijini Mbeya katika kanisa la Moravian Itili Sae zafana Jana

 Mchungaji wa Kanisa la Itili Moravian Mbeya akiwa anaongoza Ibada ya Mwaka mpya jana
 Waumini wakiwa katika Ibada
 Msimamizi Mkuu wa Mbeya yetu Blog Ndugu Joseph Mwaisango wa tatu Kutoka kushoto akiwa na Familia yake wakati wa Ibada hiyo ya Mwaka mpya
 Baadhi ya Waumini wakitoa Sadaka
 Viongozi Mbali Mbali wa Dini wakati wa Ibada hiyo 


Mwandishi wa Habari Mkongwe wa Jijini Mbeya Bwana Mwakipesile akiwa na Familia Yake mala baada ya Ibada ya Mwaka Mpya 2012

No comments: