Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, November 12, 2011

Polisi yatangaza watu wakae majumbani kutokana na vurugu zinazo endelea

Bwana Gabriel Mwasomola mmoja kati ya majeruhi waliopigwa risasi eneo la stendi ya Kabwe, jijini Mbeya kutokana na vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.

Barabara ikiwa imefungwa
Maduka yakiwa yamefungwa katika Stendi ya magari madogo abiria(daladala) Kabwe jijini Mbeya, kutokana na vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.
Nguzo ya bango la Matangazo lililopo eneo la Stendi ya magari ya abiria(daladala), ambapo Tangazo lililokuwa eneo hilo la Airtel lilichomwa moto kufuatia vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.
Baadhi ya wasababishaji wa vurugu nya vurugu wakiendelea na shughuli nzima za ufungaji wa barabara kufuatia vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.

1 comment:

Mbwana said...

Ni vyema Serikali iwe inafanya tathimi kabla ya kuchukua hatua. Mpaka sasa hakuna eneo maalum ambalo limetengwa na kuwa tayari kwa ajili ya machinga. inapoamua kuwafukuza inataka waende wapi???