Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, November 12, 2011

Breaking Nuuuz: Liveee Mkuu wa mkoa akutana na waandishi wa Habari Muda huu kuzungumzia Sakakata la Vurugu kali Mbeya

 Mkuu wa Mkoa Muheshimiwa Abas Kandoro akiwa na waandishi wa habari Muda huu wakijadili swala la Mgogoro na wamachinga 
 Bara bara zimefungwa Maeneo ya Mama John Muda huu Live
 Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa kwa umakini kutokana na Sakata Hili la wamachinga
 Wanachi wa Mbeua wakiwa wanashangilia tuu muda huu wakati waandishi wanaendelea na kikao na Mkuu wa mkoa 
Mkuu wa Mkoa Bw. Abas Kandoro akiwa anaongea na Waandishi wa habari
Endelea kufuatilia habari hii kwa Ukaribu zaidi hapa hapa 

4 comments:

Anonymous said...

nomaa

Anonymous said...

Hii serikali inatumia nguvu nyingi akili kidogo kwenye mambo ya msingi. It is time waanze kutumia akili zaidi kwenye mambo muhimu.

Anonymous said...

Serikali iko against it's people

Anonymous said...

ulitaka watumie nini kama c nguvu hapo