Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, November 11, 2011

MKUU WA MKOA WA MBEYA AKATISHA ZIARA MBOZI KUJA KUKUTANA NA WAMACHINGA

Taarifa zilizotufikia hivi sasa ni kwamba Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro

amekatisha ziara yake wilayani Mbozi na alikuwa njiani kurudi jijini Mbeya kukutana

 na wamachinga waliouteka mji tangu asubuhi. Kinachosubiriwa ni iwapo wamachinga

 hao watakubali kuongea naye kwani walishatamka kuwa hawataki kumuona.

Muda huu machinga walikuwa wakilazimisha kuingia katikati ya jiji kushinikiza

 kuachiwa kwa wenzao wanaoshikiliwa na polisi

No comments: