Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, November 11, 2011

HALI BADO SI SHWARI JIJI LA MBEYA MAPAMBANO BADO YANAENDELEA

Raia wema wakivukishwa barabara eneo la mapambano maeneo ya kabwe
Moja ya gari lililopasuliwa kioo na baruti
Wamachinga wakishangilia baada ya kuwazidi polisi nguvu
Nivurugu tupu maeneo ya soweto jijini mbeya
Wamachinga wakichochea moto wa matairi katikati ya barabara ya mbeya na tunduma

3 comments:

ZITTO KIARATU said...

kama alivyosema nyerere sasa tunataka mapinduzi, tumenyanyaswa kwa muda mrefu, tumedharauliwa kwa muda mrefu, lakini kambarage katuachia katiba bomu, amekuwa feki kama obama!!!!!

Anonymous said...

Aisee! hawa ccm vipi-kila miji mikubwa iliyo shikwa na chadema wanajifanya wapo active kupanga maeneo ya wamachinga- wajenge hayo ma'complex yao basi kila mkoa-Na huyu kandoro mwanza kashindwa kaanzisha fujo tuu, kaletwa mbeya yale yale. Wanafany a makusudi ili miji izolote then waseme mnaona upinzani haujafanya kitu zaidi ya vurugu -TUMEWASTUKIA

Anonymous said...

wewe msemaji wa pili naona unapoint mpango wa CCM ni kuwaharibia CDM...wanaroho mbaya