Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, October 23, 2011

CONGRATULATION MISS JESTINA GEORGE FOR WINNING BEFFTA AWARDS-BLOG OF THE YEAR 2011


Miss Jestina George akitoa mawili watatu mara baada ya blogu yake kutangazwa mshindi wa blogu ya mwaka 2011 usiku wa kuamkia leoMiss jestina George akiwa katika kinyanganyiro cha BEFFTA AWARDS ambapo blogu yake ilikua katika kipengele cha blogu ya mwaka 2011 na kuibuka mshindi wa blogu ya mwaka 2011.Hongera Miss Jestina George Blogu kwa kazi nzuri sana.No comments: