Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, October 23, 2011

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji),Atemebelea Kiwanda Cha TBL Mbeya

Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu
(katikati) akizungumza na maofisa wa kiwanda cha bia cha Kampuni ya
Bia Tanzania (TBL), Mbeya,alipotembelea kiwanda hicho juzi.

Meneja
wa kiwanda cha bia cha Kampuni ya Tanzania Brewaries LTD (TBL),Mbeya,
Calvin Martin (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu alipotembelea
kiwanda hicho juzi.Katikati ni Ofisa Tawala Wilaya ya Mbeya, Geofrey
Anania.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu
(katikati mbele) akiongozana na maofisa wa kiwanda cha Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Mbeya,maofisa wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na
waandishi wa habari, kutembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda hicho,
jijini Mbeya juzi.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu
(katikati mbele) akiendelea kupata maelezo kutoka kwa Meneja wa
Kiwanda cha TBL Mbeya, Calvin Martin jinsi uzalishaji bia unavyofanyika
alipotembelea juzi kiwanda hicho kilichopo Iyunga, jijini Mbeya.
Picha Na Latest News

No comments: