Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, October 23, 2011

Rais Jakaya Kikwete Atunukiwa Digrii ya Udaktari wa Sheria(Doctor of Laws Honoris Causa)Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Balozi Fulgence Kazaura akimtukunu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete digrii ya Heshima ya Udaktari wa
sheria(Doctor of Laws Honoris Causa) wakati wa Mahafali ya Arobaini na
moja ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam iliyofanyika katika ukumbi wa
Mlimani City jijini Dar es Salaam jana.Wakati wa Mahafali hayo Rais
Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda alitunukiwa digrii ya Heshima Ya
Udaktari wa Fasihi(Doctor of Literature Honoris Causa).Kushoto ni
makamu mkuu wa Chuo Profesa Rwekaza Mukandala.


Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya shukrani muda mfupi
baada ya kutunikiwa Digrii ya Heshima ya Udaktari wa Sheria(Doctor of
Laws Honoris Causa) katika Mahafali ya Arobaini na moija ya Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam iliyofanyika katika jana katika ukumbi wa mlimani
city.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments: