Rais Jakaya Kikwete akiongea na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe na maofisa wengine leo wakatiakiondoka New York kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya Marekani ambapo alihudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa na wa Diapora jijini New York na Virginia, Washington DC.
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mbunge wa Bukombe Profesa Kahigi huku Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii wa Zanzibar Mh Juma Duni Haji akiangalia leo wakati akiondoka New York kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya Marekani ambapo alihudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa na wa Diapora jijini New York na Virginia, Washington DC. Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment