Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA (kushoto) Mama Salma Kikwete akimpa tuzo maalum Rais wa Zanzibar Dkt. Shein mara baada ya kuzindua shule ya WAMA NAKAYAMA iliyoko Rufiji Mkoani Pwani jana. (Mwanakombo Mbwana Omari Jumaa)
Mwanafunzi akifuta machozi wakati akiwa katika sherehe hizo mara baada ya kusoma ngonjera yao
No comments:
Post a Comment