Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa kiwanda cha kusindika samaki cha Geoje kilichopo katika mji wa viwanda wa Geoje nchini Korea ya Kusini Juni 7, 2011 baada ya kukagua shughuli za kiwanda hicho .
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua meli itakayofanya utafiti wa mafuta na Gesi kwenye pwani ya Mtwara na Mafia inayomilikiwa na kampuni ya PETROBAS ya Brazil Julai 7, 2011 . Meli hiyo iliyotengenezwa kwenye bandari ya Geoje nchini Korea ambako Julai 8, 2011 inatarajiwa kuzinduliwa itaweka nanga kwenye bandari ya Mtwara miezi miche ijayo ili kuanza kazi ya utafiti wa mafuta na gesi.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi
No comments:
Post a Comment