Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 20, 2011

Ujio wa Libeneke Jipyaa la CHINGA ONE...

Kwa Niaba ya Wadau  na Wapenzi wangu  wote,  Napenda kuwajulisha Watanzania uwepo wa ukurasa  wa www.chingaone.blogspot.com ambao uko rasmi katika  kuwaletea habari za kitaifa, Kimataifa na dunia kwa ujumla, . Kauli mbinu yetu ni 
"UWEPO WANGU NI KWA AJILI YAKO"
ni imani yangu kuwa bila wewe mimi siwezi kuwepo kwa hiyo uwepo wenu una umuhimu mkubwa kwangu.
Jennifer Livigha
Chingaone Founder -  Operation Director

No comments: