Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 20, 2011

Vodacom wahudhuria Semina Chuo tawi la chuo kikuu cha Tumaini Kurasini

Afisa Huduma na bidhaa wa  Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi na Mkurugenzi mtendaji wa Moneytrack Solutions pamoja na wanafunzi wa kitivo cha sheria wa  chuo kikuu cha Tumaini tawi la kurasini,wakifatilia mada  wakati wa semina  maalumu ya kuwaandaa wanafunzi wanaohitimu elimu katika vyuo mbalimbali kwa ajili ya maisha yao  baada ya kuhitimu,mada ililenga kuwapatia elimu ya Biashara,washa hiyo  iliandaliawa na Kampuni ya East Africa Speakers Bureau ya jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.


Mkurugenzi mtendaji wa  kampuni  ya inayojihusisha na utengenezaji wa  kadi za kutolea fedha kwenye mabenki (ATM)Richard Kasesela , akitoa mada kwa wanafunzi wa kitivo cha sheria wa  chuo kikuu cha Tumaini tawila kurasini.Jinsi ya  kuwapa uwezo na Morali mara pindi wanapomaliza masomo yao,washa hiyo  iliandaliawa na Kampuni ya East Africa Speakers Bureau ya jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.


Baadhi ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Tumaini tawi la kurasini kitivo cha sheria ,wakifuatilia kwa makini mada  wakati wa semina  maalumu ya kuwaandaa wanafunzi wanao hitimu elimu katika vyuo mbalimbali kwa ajili ya maisha yao  baada ya kuhitimu,mada ililenga kuwapatia elimu ya Biashara,washa hiyo  iliandaliawa na Kampuni ya East Africa Speakers Bureau ya jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

No comments: