Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, June 12, 2011

JK Audhuria Mazishi Ya Albertina Sisulu- Afrika Kusini

|
 Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu wa Zambia Dr.Kenneth Kaunda na Mama Graca Machel wakiwa katika ibada ya Mazishi ya mpigani Uhuru wa Afrika ya Kusini Marehemu Albertina Sisulu iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Orlando,Soweto jana asubuhi.Marehemu Albertina Sisulu alikuwa mke wa mpigania uhuru wa Afrika ya Kusini marehemu Walter Sisulu....


Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Zambia Dr. Kenneth Kaunda wakiwa katika Mazishi ya mpigania uhuru wa Afrikaya Kusini Marehemu Albertina Sisulu yaliyofanyika katika makaburi ya Newclare, katika kitongoji cha Soweto jana mchana. ( Picha: Freddy Maro)



No comments: