Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, June 12, 2011

ELIMU BORA HIYOOOOO00

Wanafunzi wa shule ya msingi ya Hamwelo wakiwa kwenye dirisha la mviringo ambalo mwanafunzi akizidiwa hasa mwalimu siku hiyo akiingia na stiki basi anachomoka moja kwamoja nje!!!!!!
Inasikitisha sana
Hapa ni shule ya msingi ya Ntungwa wilayani Mbozi ambako pia hali ni kama hivyo tena sakafuni ndiyo utaratibu wetu wa kawaida.

Wakijiandaa kuingia Darasani

Picha na Rashidi Mkwinda

No comments: