Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, June 15, 2011

hepi besdei ya kuzaliwa lady jay dee leo

Lady Jay Dee


Its My Birthday today 15 June
Ni siku yangu ya kuzaliwa, najivunia na kumshukuru Mungu kwa kumpa nguvu mama yangu Martha Mbibo kunihifadhi tumboni, kunileta duniani kunilea na kunifunza ujasiri na ustahamilivu mpaka leo nipo hapa nilipo kwa ajili ya busara zake. Nampendaga sana Mama
JIDE
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Timu nzima ya Globu ya Jamii inakupa hongera sana Jide kwa kuzaliwa leo. Mola akuafu na kukuzidishia moyo wa upendo Kwake na Mama Mbibo, ndugu, jamaa na marafiki.
Habari kwa hisani ya Michuzi Blog

No comments: