Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, June 15, 2011

BREKING BURUDANI NYUZZZZZ : JIDE kufanya show na Oliver 'Tuku' Mutukudzi Nyumbani Lounge Jumapili

Legend wa muziki wa AfroPop OLIVER 'TUKU' MTUKUDZI toka Zimbabwe atafanya onesho maalum na Malkia wa AfroPop LADY JAYDEE wa Tanzania.

Show hii special itafanyika Jumapili tarehe 19 June pale katika mgahawa wa NYUMBANI Lounge inayomilikiwa na Jide mwenyewe.

Viingilio ni 30,000 na 50,000 seat maalum pamoja na Dinner nzuri sana ya BBQ.
OLIVER Mtukudzi na Black Spirit Band kwa pamoja na LADY JAYDEE na Machozi Band show itaanza saa 2usiku mpaka saa 8usiku.
Kwa Booking mpigie Gardner G. Habash
+255 784 884007
Oliver 'Tuku'Mtukudzi -Todii

No comments: