mie nilidhani uongozi wa jiji ungejenga maghorofa kwa ajili ya kupangisha maofisi ya serikali na taasisi binafsi, kuliko kujenga soko lingine katikati ya jiji. kwa watu wa mjini, Soko Matola linawafaa kabisa. hii itasaidia pia kulipa nguvu soko la Mwanjelwa, ambalo prpbably litakuwa Soko Kuu, badala ya hili hapa.
1 comment:

Post a Comment