Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, June 2, 2011

HATIMAE WAFANYABIASHARA SOKO KUU UHINDINI MBEYA WAANZA KUHAMA KUPISHA UJENZI WA SOKO JIPYA

Mafundi wakiwa kazini kutoa mabati  navitu vingine kupisha ujenzi wa soko jipya la uhindini litakaloanza kujengwa hivi karibuni
Naibu Meya Fank Maemba mwenye flana ya bluu akikusanya kilicho chake  kupisha ujenzi huo

1 comment:

Lusu said...

mie nilidhani uongozi wa jiji ungejenga maghorofa kwa ajili ya kupangisha maofisi ya serikali na taasisi binafsi, kuliko kujenga soko lingine katikati ya jiji. kwa watu wa mjini, Soko Matola linawafaa kabisa. hii itasaidia pia kulipa nguvu soko la Mwanjelwa, ambalo prpbably litakuwa Soko Kuu, badala ya hili hapa.