Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, June 15, 2011

EDWARD LOWASA ATINGA KWA NABII JOSHUA KUOMBEWA


Edward Lowasa (kushoto) akiwa na Waziri wa Afrika Mashariki , Samuel Sitta.
Edward Lowasa , mwana siasa anayetajwa 'kujipanga kugombea urais mwaka 2015', ametinga nchini Nigeria kufanya maombi , Mwana HALISI limeelezwa.Habari hii ipo kwenye kurasa ya mbele na ya pili ya gazeti hilo la leo, Jumatano , Juni 15 -21, 2011.Imeandikwa na Alfred Lucas.
Taarifa zilizo patikana jijini Dar es Salaam , mwishoni mwa wiki zilisema, Lowasa aliondoka nchini Ijumaa .Alikutana na Nabii Joshua na kushiriki katika misa ya pamoja iliyofanyika Jumapili iliyopita.Habari hii kwa undani zaidi ipo kwenye gazeti la Mwana Halisi la leo.

1 comment:

Anonymous said...

Inasikitisha wengi hawafahamu (ikiwa ni pamoja na EL) kwamba the so called Nabii Joshua ni Agent mkubwa wa Ibilisi - anatumia nguvu za giza kwenye miujiza yake!

Wenye macho na waone... wenye masikio na wasikie. Mungu tusaidie!!