Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, June 15, 2011

Mandalizi ya lala salama ya vodacom miss dar inter-college 2011

Warembo watakaochuana katika shindano la kumtafuta Vodacom Miss Dar Inter College litakalofanyika Juni 17, Ijumaa, wiki hii kwenye ukumbi wa Sun Cirro uliopo Sinza jijini Dar es Salaam wakiwa katika ukumbi wa Break Point ya mjini katika maadalizi ya mwisho mwisho kabla ya kinyang’anyiro hicho ambapo, mratibu wa shindano hilo, Angela Msangi, amesema kuwa katika kunogesha fainali ya shindano hilo msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo flava’, Dully Skyes atatumbuiza
Mazoezi makali
Kila mshiriki yuko tayari
Picha na Habari kwa hisani ya Michuzi

No comments: