Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, May 17, 2011

WANAKAMATI WAZICHAPA KAVUKAVU UKUMBINI MBEYA

Jamaa wakizichapa kavu kavu kwenye sherehe naniwanakamati hao Na suti zao

1 comment:

Anonymous said...

Ndg. mwandishi, nafuatilia sana habari katika mtandao wako. Kinachonisikitisha ni tabia yako ya kuandika habari kana kwamba kila mtu alikuwepo kwenye eneo la tukio. Kumbuka kuwa lengo lako ni kuhabarisha hivyo kuna vitu kadhaa lazima uvizingatie uandikapo.

i. nani (wahusika)
ii. mahali
iii. muda
iv. sababu

Vitu hivi vitamsaidia msomaji kuelewa na kupenda kuendelea kutembelea mtandao wako