Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, May 30, 2011

MAPINDUZI STARS YAPOKEWA KWA SHANGWE JIJINI MBEYA

IVON MAPUNDA AKIMKABIDHI  KOMBE MKUU WA MKOA MBEYA JOHN MWAKIPESILE
MKUU WA MKOA MBEYA AKIONGEA NA WADAU WASOKA WALIYOKUJA KUIPOKEA TIMU YA MAPINDUZI STARS
KOCHA  BORA JUMA MWAMBUSI AKIMKABIDHI TUZO ALIYOIPATA HUKO ARUSHA KWA MKUU WA MKOA MBEYA
MCHEZAJI BORA JUMA MPOLA NA DAKTARI WA TIMU YA MAPINDUZI  NZUDA WAKIWA KATIKA TELA LA TBL 
WACHEZAJI WA MAPINDUZI STARS KATIKATI YA JIJI LA MBEYA
WACHEZAJI WA MAPINDUZI STAR WAKIWA NA FURAHA HUKU WAKIMSIKILIZA MKUU WA MKOA MBEYA
MOJA YA WAPENZI WA MAPINDUZI STARS AKILIBEBA KOMBE
KATIKATI YA JIJI LA MBEYA EMMANUEL MUSHI HAKUWA MBALI  NA KOMBE HILO
HABAKUKI MUSHI AKIFURAHIA KOMBE HILO
AKINA DADA NAO HAWAKUWA NYUMA KATIKA KUWAPOKEA WACHEZAJI HAO HUYO NI MRS PENDO MEMBA
WADAU MBALIBALI WAKICHANGIA CHOCHOTE WALICHONACHO KAMA ZAWADI KWAWACHEZAJI WAO

2 comments:

Anonymous said...

mbeya tunaweza na tumewaonyesha ya kuwa tunaweza

Anonymous said...

i love mbeya jamani...huyo mdada ni pendo kyando rex she is luking gud miss my home land mbeya