Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, May 31, 2011

Breaking Nuzzz.......Benki ya NBC Tawi la Chuo Kikuu Jijini Dar es salaam Nusura kuwaka Moto jioni hii

Katika hali isiyo ya kawaida Mbeya yetu tukiwa njiani kuelekea maeneo ya Chuo kikuu cha Dar es salaam tulipishana na Gari hili likikimbilia maeneo ya Utawala chuoni hapo. Kamera yetu ikaanza kufuatilia tukio hilo.

Hapa ndipo Gari la zima moto lilipo fikia eneo la tukio ambalo lilikua ni Bank ya NBC tawi la chuo kikuu ambapo moto ulitaka kuwaka.. Hata hivyo jitihada za kuzima moto huo zilifanikiwa.. na Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika.

No comments: