IVON MAPUNDA AKIMKABIDHI KOMBE MKUU WA MKOA MBEYA JOHN MWAKIPESILE |
MKUU WA MKOA MBEYA AKIONGEA NA WADAU WASOKA WALIYOKUJA KUIPOKEA TIMU YA MAPINDUZI STARS |
KOCHA BORA JUMA MWAMBUSI AKIMKABIDHI TUZO ALIYOIPATA HUKO ARUSHA KWA MKUU WA MKOA MBEYA |
MCHEZAJI BORA JUMA MPOLA NA DAKTARI WA TIMU YA MAPINDUZI NZUDA WAKIWA KATIKA TELA LA TBL |
WACHEZAJI WA MAPINDUZI STARS KATIKATI YA JIJI LA MBEYA |
WACHEZAJI WA MAPINDUZI STAR WAKIWA NA FURAHA HUKU WAKIMSIKILIZA MKUU WA MKOA MBEYA |
MOJA YA WAPENZI WA MAPINDUZI STARS AKILIBEBA KOMBE |
KATIKATI YA JIJI LA MBEYA EMMANUEL MUSHI HAKUWA MBALI NA KOMBE HILO |
HABAKUKI MUSHI AKIFURAHIA KOMBE HILO |
AKINA DADA NAO HAWAKUWA NYUMA KATIKA KUWAPOKEA WACHEZAJI HAO HUYO NI MRS PENDO MEMBA |
WADAU MBALIBALI WAKICHANGIA CHOCHOTE WALICHONACHO KAMA ZAWADI KWAWACHEZAJI WAO |
2 comments:
mbeya tunaweza na tumewaonyesha ya kuwa tunaweza
i love mbeya jamani...huyo mdada ni pendo kyando rex she is luking gud miss my home land mbeya
Post a Comment