Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, May 25, 2011

Breaking Nuzzzzzzz....... Mbeya yaibuka kidedea mashindano ya Taifa Cup kuingia fainali baada ya kuichalaza Kagera

 Muda mchache uliopita Timu kutoka Mbeya imeibuka Kidedea Baada ya kuichalaza Kagera magoli mawili kwa Moja na kuingia katika fainali za kombe la Taifa Cup na leo ilikua ni nusu fainali. Mtinange huo wa kukata na shoka umeisha hivi punde baada ya timu kutoka Mbeya kupata Goli hilo la ushindi Dakika za Mwisho

1 comment:

Anonymous said...

Go go Mbeya go for it!