Muda mchache uliopita Timu kutoka Mbeya imeibuka Kidedea Baada ya kuichalaza Kagera magoli mawili kwa Moja na kuingia katika fainali za kombe la Taifa Cup na leo ilikua ni nusu fainali. Mtinange huo wa kukata na shoka umeisha hivi punde baada ya timu kutoka Mbeya kupata Goli hilo la ushindi Dakika za Mwisho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Go go Mbeya go for it!
Post a Comment