
Habari zinzasema watu zaidi ya 50 wamenusurika na mauti na wengi wao kujeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Taqwa kupata ajali mbaya eneo la Iyofi mpakani mwa Iringa na Morogoro leo. Inadai kuwa basi hilo lilikuwa likielekea jijini Dar es Salaam.
Picha na Francis Godwin
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi
No comments:
Post a Comment