Nilipo fika eneo hili palikua kama hivi nikajua ni Bustani ya Mboga hii
Nilipo sogea zaidi nikakutana na eneo wanatupa mataka taka pembeni ndio hiyo mboga inaoteshwa
Kamera iliendelea kuvinjali mitaa hiyo na kukuta hali inazidi kuwa mbaya ambapo kulikua kuna mto umejaa taka na pembeni kuna makazi ya watu
Na mwisho Hali ilizidi kuwa mbaya zaidi na Kamera yetu kubainisha kuwa wanainchi waishio kona hizi hawajawezeshwa na Serikali vifaa maalum vya kuhifadhia taka...Na tulipo kutana na wadau wa maeneo hayo walidai kuwa hakuna anaetazama maeneo haya na wameomba watazamwe kwa ukaribu na wamehofia sana magonjwa ya Mlipuko.
No comments:
Post a Comment