Kaunta Mbalimbali za M-pesa kama inavyoonekana katika
jengo la shirika
la Posta la Mbeya
ambapo mawakala tofauti tofauti wa M-Pesa wameunganishwa pamoja
ambapo kila mmoja ana kaunta yake, sasa burudani ni pale mteja
unapowasili-
kila lugha ya kubembelezwa unaipata-- karibu baba karibu hapa ,
welcome , this is a favolable counter na kila maneno matamu! Ubunifu muhimu kwenye biashara
No comments:
Post a Comment