Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 13, 2011

WANA CCM MBEYA WAMPOKEA SAMBWELI SHITAMBALA

Vijana wa CCM wakimbeba aliyekuwa Mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya Sambweli Shitambala kwakujiunga na chama cha mapiduzi
Wazee wa kimila Mkoani mbeya wakimkabidhi mshale kama kinga yakujilinda na maadui zake  


Wana CCM wakiimba nyimbo za kumpongeza Sambweli Shitambala baada ya kujiunga na CCM

1 comment:

Anonymous said...

Theory "XY" is a very good theory.He belongs to theory "X"!