Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, April 14, 2011

KUMBUKUMBU

MAREHEMU MZEE  GEORGE B. Z .SEYAYI WAKATI WA UHAI WAKE

MPENDWA BABA YETU GEORGE B. Z .SEYAYI, ILIKUWA SIKU, MWEZI NA HATIMAYE LEO TAREHE 14/4/2011 UMETIMIZA  MIAKA 18 TOKA UTUTOKE KATIKA DUNIA HII.TUNAFARIJIKA KWASABABU TUNA AMANI UKO PAMOJA NASI KIROHO SIKU ZOTE.

BABA HAKUNA SIKU IPITAYO KWETU BILA KUKUMBU KWA  UPENDO NA UKARIMU WAKO,USHAURI MWEMA, MISIMAMO BORA NA BUSARA ZAKO KATIKA KUTULEA NA KUTUUNGANISHA  SISI WANAO NA FAMILIA  PAMOJA,BUSARA ZAKO  ZIMEKUWA DIRA  NA NURU KATIKA MAISHA YETU.TUNAENDELEA KUKUOMBEA NA TUNAENDELEZA YALIYO MEMA KWA WAJUKUU ZAKO UPUMZIKE KWA AMANI.
                   
DAIMA UNAKUMBUKWA NA WATOTO WAKO:

BULOYA,PHILIP,LUKA,MARIAM, WADOGO ZAKO WOTE,NDUGU JAMAA  NA MARAFIKI PAMOJA NA MKE WAKO MATILDA GEORGE SEYAYI .DAIMA TUTAKUKUMBUKA  MILELE.

BABA TULIKUPENDA SANA, LAKINI MUNGU BABA WA MBINGUNI ALIKUPENDA ZAIDI.BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

No comments: