Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 13, 2011

January Makamba aanza kazi kwa kishindo

 katibu wa CCM Idara ya siasa na Mahusiano ya kimataifa,Januari Makamba katikati akizungumza na Mabalozi,Kulia Balozi wa Japani Hiroshi Nakagawa,Balozi wa Uswisi Adrian Schlapfer,na Balozi wa Norwegian Ingunn Klepsvik kulia kwake akiwa amefuatana na katibu wa ubalozi Veslemoy Lothe Sal.
Mazungumzo yakiendelea huku Ndugu Januari Makamba akitilia mkazo masuala Muhimu aliyo kua akiongea na Mabalozi hao.
Mazungumzo yakiwa yanaendelea huku Mabalozi wakisikiliza kwa umakini.

2 comments:

Anonymous said...

Kwanini blog zote mmeandika hii habari kwa title zinazoendana ? Au wamiliki wote wa blog mnamitizamo sawa ? Kishindo gani alichoanza nacho Makamba ? Kuweni realistic especially kwa zama hizi za utandawazi. Mnapomsifia mtu iwe mnamsifia kwa kazi inayoonekana, kukaa tu kikao ndio kishindo ?

mwanakijiji said...

January tunampenda sana lakini sasa aachane na habari za ROSTAM,ni kijana mzuri very intelligent sema kina ROSTAM Walitaka kumtumia vibaya na kumharibu,hawa ndio watakuja kuwa marais wetu huko mbele,kaka sahau kabisa habari za ROSTAM na LOWASSA kuwa mtiifu kwa wazee kama kina SAM SIX(SAMUEL SITTA),SALIM A. SALIM,MSUYA na Bosi wako KIKWETE utafika mbali.