Hapa ni uwanja wa mashujaa unaopatika maeneo ya Mahenge, Songea mjini. ni eneo mahususi kwa ajili ya kuwakumbuka mashujaa waliopambana vilivyo dhidi ya wakoloni ktk ile vita maarufu ya maji maji. Ni sehemu ya kuwakumbuka ma-chief wa maeneo mbali mbali ambao waliongozwa na Mbano Songea kupambana dhidi ya serikali ya kikoloni.
Ebana eeh mzee wa mbeya yetu niliona libeneke ya kwako kwa dada jojo nizuri yenye kutuhabarisha sisi tuliombali ili kuihabarisha mbea yetu kwa wa tz walio mbali na mbeya nilikuwa nakuomba kitu kimoja tu kwako nina kablog kangu naomba ukipandishe katika blog list zako ni http://swahilivilla.blogspot.com/ ipo ndani ya DC marekani. Ahsante na tutaongea zaidi byee
1 comment:

Post a Comment